sw_tn/ezk/41/21.md

12 lines
545 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kulikuwa na milango miwili kwa ajili ya mahali patakatifu na mahali patakatifu sana
"mahali patakatifu na patakatifu sana kote kulikuwa na milango miwili"
# Hii milango ilikuwa na bawaba mbili zilizokuwa zimeshikilia paneli za mlango yote
"Kila mlango ulikuwa na sehemu mbili katika bawaba." Bawaba inaunganisha milango kwenye ukuta na kuruhusu milango kubembea.
# paneli mbili kwa ajili ya mlango mmoja na paneli mbili kwa ajili ya mwingine
"milango yote kwa sehemu zote mahali patakatifu na mahali pa juu sana palikuwa na sehemu mbili"