# Kulikuwa na milango miwili kwa ajili ya mahali patakatifu na mahali patakatifu sana "mahali patakatifu na patakatifu sana kote kulikuwa na milango miwili" # Hii milango ilikuwa na bawaba mbili zilizokuwa zimeshikilia paneli za mlango yote "Kila mlango ulikuwa na sehemu mbili katika bawaba." Bawaba inaunganisha milango kwenye ukuta na kuruhusu milango kubembea. # paneli mbili kwa ajili ya mlango mmoja na paneli mbili kwa ajili ya mwingine "milango yote kwa sehemu zote mahali patakatifu na mahali pa juu sana palikuwa na sehemu mbili"