sw_tn/ezk/40/46.md

363 B

Maelezo ya Jumla:

Yule mtu anaendelea kunena na Ezekieli katika maono

chumba kinachoelekea kaskazini

"ambacho kilikuwa na lango la kuingia upande wa kaskazini"

yeye

"yule mtu"

dhiraa

Tazama tafsiri yake katika 40:5.

dhiraa mia moja

Kama mita arobaini na nne.

pamoja na madhabahu

"na ilipokuwa madhabahu"

nyumba

Hii inarejea kwa hekalu.