sw_tn/ezk/40/46.md

28 lines
363 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Yule mtu anaendelea kunena na Ezekieli katika maono
# chumba kinachoelekea kaskazini
"ambacho kilikuwa na lango la kuingia upande wa kaskazini"
# yeye
"yule mtu"
# dhiraa
Tazama tafsiri yake katika 40:5.
# dhiraa mia moja
Kama mita arobaini na nne.
# pamoja na madhabahu
"na ilipokuwa madhabahu"
# nyumba
Hii inarejea kwa hekalu.