# Maelezo ya Jumla: Yule mtu anaendelea kunena na Ezekieli katika maono # chumba kinachoelekea kaskazini "ambacho kilikuwa na lango la kuingia upande wa kaskazini" # yeye "yule mtu" # dhiraa Tazama tafsiri yake katika 40:5. # dhiraa mia moja Kama mita arobaini na nne. # pamoja na madhabahu "na ilipokuwa madhabahu" # nyumba Hii inarejea kwa hekalu.