sw_tn/ezk/40/22.md

40 lines
893 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Ezekieli anaendelea kuelezea maono ya hekalu na ya yule mtu anayefanana na shaba.
# Madirisha yake
Neno "yake" inarejea kwa lango ambalo lilikuwa upande wa kusini mwa uwanja wa nje.
# vyumba vya ndani
Tazama tafsiri yake tatika sura ya 40:5.
# ilikabiliana na lango lililoelekea mashariki
"ilikuwa kama lile lango lililoelekea mashariki"
# uwanja wa ndani
Tazama tafsiri yake katika sura ya 8:16.
# mbele ya lango linaloelekea kaskazini
"moja kwa moja kukatiza kutoka lango linaelekea kaskazini"
# pia kama kulikuwa na lango kuelekea magharibi
"pia kama kulikuwa na lango lililokuwa limeelekea uwanja wa ndani mbele ya lango kuelekea magharibi"
# lango moja kuelekea jingine
"kutoka lango la nje upande wa kaskazini kuelekea lango la ndani upande wa kaskazini"
# dhiraa
Tazama tafsiri yake katika sura ya 40:5.
# dhiraa mia moja
kama mita hamsini na nne