sw_tn/ezk/40/22.md

893 B

Maelezo ya Jumla:

Ezekieli anaendelea kuelezea maono ya hekalu na ya yule mtu anayefanana na shaba.

Madirisha yake

Neno "yake" inarejea kwa lango ambalo lilikuwa upande wa kusini mwa uwanja wa nje.

vyumba vya ndani

Tazama tafsiri yake tatika sura ya 40:5.

ilikabiliana na lango lililoelekea mashariki

"ilikuwa kama lile lango lililoelekea mashariki"

uwanja wa ndani

Tazama tafsiri yake katika sura ya 8:16.

mbele ya lango linaloelekea kaskazini

"moja kwa moja kukatiza kutoka lango linaelekea kaskazini"

pia kama kulikuwa na lango kuelekea magharibi

"pia kama kulikuwa na lango lililokuwa limeelekea uwanja wa ndani mbele ya lango kuelekea magharibi"

lango moja kuelekea jingine

"kutoka lango la nje upande wa kaskazini kuelekea lango la ndani upande wa kaskazini"

dhiraa

Tazama tafsiri yake katika sura ya 40:5.

dhiraa mia moja

kama mita hamsini na nne