# Maelezo ya Jumla: Ezekieli anaendelea kuelezea maono ya hekalu na ya yule mtu anayefanana na shaba. # Madirisha yake Neno "yake" inarejea kwa lango ambalo lilikuwa upande wa kusini mwa uwanja wa nje. # vyumba vya ndani Tazama tafsiri yake tatika sura ya 40:5. # ilikabiliana na lango lililoelekea mashariki "ilikuwa kama lile lango lililoelekea mashariki" # uwanja wa ndani Tazama tafsiri yake katika sura ya 8:16. # mbele ya lango linaloelekea kaskazini "moja kwa moja kukatiza kutoka lango linaelekea kaskazini" # pia kama kulikuwa na lango kuelekea magharibi "pia kama kulikuwa na lango lililokuwa limeelekea uwanja wa ndani mbele ya lango kuelekea magharibi" # lango moja kuelekea jingine "kutoka lango la nje upande wa kaskazini kuelekea lango la ndani upande wa kaskazini" # dhiraa Tazama tafsiri yake katika sura ya 40:5. # dhiraa mia moja kama mita hamsini na nne