sw_tn/ezk/38/14.md

276 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa Gogu.

Katika siku hiyo ... jifunze kuhusu wao

Yahwe anatumia hili swali kusisitiza kwamba Gogu atasikia hasa kuhusu watu wanaoishi katika Israeli.

wanaweza kunijua

"wanaweza kunijua mimi ni nani"