# Maelezo ya Jumla: Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa Gogu. # Katika siku hiyo ... jifunze kuhusu wao Yahwe anatumia hili swali kusisitiza kwamba Gogu atasikia hasa kuhusu watu wanaoishi katika Israeli. # wanaweza kunijua "wanaweza kunijua mimi ni nani"