sw_tn/ezk/38/14.md

12 lines
276 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa Gogu.
# Katika siku hiyo ... jifunze kuhusu wao
Yahwe anatumia hili swali kusisitiza kwamba Gogu atasikia hasa kuhusu watu wanaoishi katika Israeli.
# wanaweza kunijua
"wanaweza kunijua mimi ni nani"