sw_tn/ezk/37/24.md

32 lines
425 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Yahwe anaendelea kunena na Ezekieli.
# Daudi mtumishi wangu
Tazama tafsiri yake katika sura ya 34:22.
# juu yao
"juu ya watu wa Israeli"
# mchungaji mmoja juuyao
tazama tafsiri yake katika sura ya 34:22.
# wataenenda kulingana na amri zangu
"wataishi kama nilivyo amuru"
# watazitunza amri zangu na kuzitii
Tazama tafsiri yake katika sura ya 18:19.
# alikaa
"aliishi"
# mkuu
"mwana mfalme"