# Maelezo ya Jumla: Yahwe anaendelea kunena na Ezekieli. # Daudi mtumishi wangu Tazama tafsiri yake katika sura ya 34:22. # juu yao "juu ya watu wa Israeli" # mchungaji mmoja juuyao tazama tafsiri yake katika sura ya 34:22. # wataenenda kulingana na amri zangu "wataishi kama nilivyo amuru" # watazitunza amri zangu na kuzitii Tazama tafsiri yake katika sura ya 18:19. # alikaa "aliishi" # mkuu "mwana mfalme"