sw_tn/ezk/37/24.md

425 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kunena na Ezekieli.

Daudi mtumishi wangu

Tazama tafsiri yake katika sura ya 34:22.

juu yao

"juu ya watu wa Israeli"

mchungaji mmoja juuyao

tazama tafsiri yake katika sura ya 34:22.

wataenenda kulingana na amri zangu

"wataishi kama nilivyo amuru"

watazitunza amri zangu na kuzitii

Tazama tafsiri yake katika sura ya 18:19.

alikaa

"aliishi"

mkuu

"mwana mfalme"