sw_tn/ezk/36/35.md

24 lines
462 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa Israeli.
# Kisha waka
Neno "waka" llinarejea kwa watu wanaotembea kupitia nchi ya Israeli.
# palipokuwa pamebomolewa
"maadui walipaangusha chini"
# watajua yakwamba mimi ndimi Yahwe
Tazama tafsiri yake katika sura ya 6:6.
# kwamba nimeyajenga magofu
"na kuijenga miji ambayo maadui walipokuwa wamepabomoa"
# kuipanda mbegu sehemu zilizokuwa ukiwa
"kupanda mbegu katika nchi kiwa"