# Maelezo ya Jumla: Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa Israeli. # Kisha waka Neno "waka" llinarejea kwa watu wanaotembea kupitia nchi ya Israeli. # palipokuwa pamebomolewa "maadui walipaangusha chini" # watajua yakwamba mimi ndimi Yahwe Tazama tafsiri yake katika sura ya 6:6. # kwamba nimeyajenga magofu "na kuijenga miji ambayo maadui walipokuwa wamepabomoa" # kuipanda mbegu sehemu zilizokuwa ukiwa "kupanda mbegu katika nchi kiwa"