sw_tn/ezk/36/35.md

462 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa Israeli.

Kisha waka

Neno "waka" llinarejea kwa watu wanaotembea kupitia nchi ya Israeli.

palipokuwa pamebomolewa

"maadui walipaangusha chini"

watajua yakwamba mimi ndimi Yahwe

Tazama tafsiri yake katika sura ya 6:6.

kwamba nimeyajenga magofu

"na kuijenga miji ambayo maadui walipokuwa wamepabomoa"

kuipanda mbegu sehemu zilizokuwa ukiwa

"kupanda mbegu katika nchi kiwa"