sw_tn/ezk/36/32.md

635 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa Israeli.

kwa ajili yako

"kwa ajili yako"

hili ndilo tangazo la Yahwe

Tazama tafsiri yake katika sura ya 5:11.

ijulikane kwenu

"unaweza kuwa na uhakika na hili"

Hivyo tahayarikeni na kufadhaika

Maneno "tahayarika" na "kufadhaika" yana maana moja. Yote yanasisitiza mkazo wa tahayari.

kwa sababu ya njia zako

"kwa sababu ya kile ufanyacho"

nyumba ya Israeli

Tazama tafsiri yake katika sura ya 3:1.

mtailima nchi iliyoharibiwa

"mtailima nchi iliyoharibiwa"

mbele za macho ya wote wapitao karib

"na wasafiri wote katika nchi wataiona"