sw_tn/ezk/36/32.md

36 lines
635 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa Israeli.
# kwa ajili yako
"kwa ajili yako"
# hili ndilo tangazo la Yahwe
Tazama tafsiri yake katika sura ya 5:11.
# ijulikane kwenu
"unaweza kuwa na uhakika na hili"
# Hivyo tahayarikeni na kufadhaika
Maneno "tahayarika" na "kufadhaika" yana maana moja. Yote yanasisitiza mkazo wa tahayari.
# kwa sababu ya njia zako
"kwa sababu ya kile ufanyacho"
# nyumba ya Israeli
Tazama tafsiri yake katika sura ya 3:1.
# mtailima nchi iliyoharibiwa
"mtailima nchi iliyoharibiwa"
# mbele za macho ya wote wapitao karib
"na wasafiri wote katika nchi wataiona"