# Maelezo ya Jumla: Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa Israeli. # kwa ajili yako "kwa ajili yako" # hili ndilo tangazo la Yahwe Tazama tafsiri yake katika sura ya 5:11. # ijulikane kwenu "unaweza kuwa na uhakika na hili" # Hivyo tahayarikeni na kufadhaika Maneno "tahayarika" na "kufadhaika" yana maana moja. Yote yanasisitiza mkazo wa tahayari. # kwa sababu ya njia zako "kwa sababu ya kile ufanyacho" # nyumba ya Israeli Tazama tafsiri yake katika sura ya 3:1. # mtailima nchi iliyoharibiwa "mtailima nchi iliyoharibiwa" # mbele za macho ya wote wapitao karib "na wasafiri wote katika nchi wataiona"