sw_tn/ezk/36/19.md

32 lines
633 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Yahwe anaendelea kunena na Ezekieli kuhusu Israeli.
# Nimewatawanya miongoni mwa mataifa; walitawanyika katika nchi tofauti tofauti.
Tazama tafsiri yake katika sura ya 12:14.
# walitawanyika katika nchi tofautitofauti
"nimewatawanya kupitia nchi tofauti tofauti"
# njia zao na matendo yao
"mambo ambayo waliyoyafanya"
# wakati watu
"kwa sababu watu wengine wamesema"
# nchi yake
Hii inarejea kwa nchi Israeli.
# nalikuwa na huruma kwa ajili ya langu langu takatifu
"najali kusu jina langu." "nalitaka watu wajue kwamba mimi ndimi Yahwe."
# nyumba ya Israeli
Tazama tafsiri yake katika sura ya 3:1.