sw_tn/ezk/36/19.md

633 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kunena na Ezekieli kuhusu Israeli.

Nimewatawanya miongoni mwa mataifa; walitawanyika katika nchi tofauti tofauti.

Tazama tafsiri yake katika sura ya 12:14.

walitawanyika katika nchi tofautitofauti

"nimewatawanya kupitia nchi tofauti tofauti"

njia zao na matendo yao

"mambo ambayo waliyoyafanya"

wakati watu

"kwa sababu watu wengine wamesema"

nchi yake

Hii inarejea kwa nchi Israeli.

nalikuwa na huruma kwa ajili ya langu langu takatifu

"najali kusu jina langu." "nalitaka watu wajue kwamba mimi ndimi Yahwe."

nyumba ya Israeli

Tazama tafsiri yake katika sura ya 3:1.