# Maelezo ya Jumla: Yahwe anaendelea kunena na Ezekieli kuhusu Israeli. # Nimewatawanya miongoni mwa mataifa; walitawanyika katika nchi tofauti tofauti. Tazama tafsiri yake katika sura ya 12:14. # walitawanyika katika nchi tofautitofauti "nimewatawanya kupitia nchi tofauti tofauti" # njia zao na matendo yao "mambo ambayo waliyoyafanya" # wakati watu "kwa sababu watu wengine wamesema" # nchi yake Hii inarejea kwa nchi Israeli. # nalikuwa na huruma kwa ajili ya langu langu takatifu "najali kusu jina langu." "nalitaka watu wajue kwamba mimi ndimi Yahwe." # nyumba ya Israeli Tazama tafsiri yake katika sura ya 3:1.