sw_tn/ezk/36/16.md

36 lines
835 B
Markdown

# neno la Yahwe likaja
"Yahwe akanena neno lake."
# Mwanadamu
Tazama tafsir yake katika sura ya 2:1:
# Nyumba ya Israeli
Tazama tafsiri yake katika sura ya 3:1.
# pamoja na njia zao na matendo yao
"jinsi walivyoishi na mambo waliyoyafanya"
# Njia zao zilikuwa kama uchafu wa hedhi ya mwanamke mbele yangu
"Njia zao zilikuwa kama machukizo kwangu kama uchafu wa hedhi ya mwanamke"
# hedhi ya mwanamke
ni damu itokayo kwa mwanamke kila mwezi wakati anapokuwa hana mimba
# nimeimwaga ghadhabu yangu juu yao
"nimefanya mambo kwao yanayoonyesha jinsi nilivyokuwa na hasira."
# kwa ajili ya damu waliyoimwaga juu yanchi
"kwa sabababu wamefanya damu ya watu wengi kusambaa kwenye nchi" au "kwa sababu wamewaua watu wengi."
# na kwa ajili ya uchafu wa hiyo kwa sanamu zao
"na kwa sababu wameinajisi nchi yangu kwa sanamu zao"