sw_tn/ezk/36/16.md

835 B

neno la Yahwe likaja

"Yahwe akanena neno lake."

Mwanadamu

Tazama tafsir yake katika sura ya 2:1:

Nyumba ya Israeli

Tazama tafsiri yake katika sura ya 3:1.

pamoja na njia zao na matendo yao

"jinsi walivyoishi na mambo waliyoyafanya"

Njia zao zilikuwa kama uchafu wa hedhi ya mwanamke mbele yangu

"Njia zao zilikuwa kama machukizo kwangu kama uchafu wa hedhi ya mwanamke"

hedhi ya mwanamke

ni damu itokayo kwa mwanamke kila mwezi wakati anapokuwa hana mimba

nimeimwaga ghadhabu yangu juu yao

"nimefanya mambo kwao yanayoonyesha jinsi nilivyokuwa na hasira."

kwa ajili ya damu waliyoimwaga juu yanchi

"kwa sabababu wamefanya damu ya watu wengi kusambaa kwenye nchi" au "kwa sababu wamewaua watu wengi."

na kwa ajili ya uchafu wa hiyo kwa sanamu zao

"na kwa sababu wameinajisi nchi yangu kwa sanamu zao"