sw_tn/ezk/34/22.md

28 lines
657 B
Markdown

# mateka
"vitu vilivypotea." Wachungaji na wanyama wa porini wamekuwa wakiiba kondoo na mbuzi kutoka kwa mifugo ya Yahwe.
# nitahukumu kati ya kondoo mmoja na mwingine
Tazama tafsiri yake katika sura ya 34:17, "nitahukumu miongoni mwa kondoo."
# Nitaweka juu yao mchungaji mmoja
"nitamtuma mchungaji mmoja kuwa kiongozi wa kondoo na mbuzi wangu"
# mtumishi wangu Daudi
Yahwe amesema "Daudi" inarejea kwa uzao wa Dausi. "uzao wa mtumishi wangu Daudi."
# nitakuwa Mungu wao
Tazama tafsiri yake katika sura ya 11:19.
# atakuwa mwana mfalme miongoni mwenu
"atakuwa mtawala"
# mimi, Yahwe, nimetangaza hivi
Tazama tafsiri yake katika sura ya 5:15.