# mateka "vitu vilivypotea." Wachungaji na wanyama wa porini wamekuwa wakiiba kondoo na mbuzi kutoka kwa mifugo ya Yahwe. # nitahukumu kati ya kondoo mmoja na mwingine Tazama tafsiri yake katika sura ya 34:17, "nitahukumu miongoni mwa kondoo." # Nitaweka juu yao mchungaji mmoja "nitamtuma mchungaji mmoja kuwa kiongozi wa kondoo na mbuzi wangu" # mtumishi wangu Daudi Yahwe amesema "Daudi" inarejea kwa uzao wa Dausi. "uzao wa mtumishi wangu Daudi." # nitakuwa Mungu wao Tazama tafsiri yake katika sura ya 11:19. # atakuwa mwana mfalme miongoni mwenu "atakuwa mtawala" # mimi, Yahwe, nimetangaza hivi Tazama tafsiri yake katika sura ya 5:15.