sw_tn/ezk/34/20.md

32 lines
625 B
Markdown

# Tazama!
Neno "tazama" hapa linaongeza msisitizo kwa kile kifuatacho.
# mimi mwenyewe
Neno "nini mwenyewe" linasisitiza kwamba ni Yahwe ndiye atakaye hukumu.
# nitahukumu kati ya kondoo mnene na yule mwembamba
"nitahakikisha kwamba kondoo mnene na mbuzi na kondoo wembamba na mbuzi wanatendeana kila mmoja vyema"
# kwa ajili yako
"Neno "wewe" linarejea kwa kondoo na mbuzi ambazo hazikuwa zinawatenda vyema kondoo wengine na mbuzi.
# kwa upande wako
"kwa upande wa mwili wako"
# amewapiga
"amewasukuma"
# kuwatawanya
"kuwafanya waende katika mahali tofauti tofauti"
# mbali na nchi
"mbali na nchi ya Israeli"