sw_tn/ezk/34/20.md

625 B

Tazama!

Neno "tazama" hapa linaongeza msisitizo kwa kile kifuatacho.

mimi mwenyewe

Neno "nini mwenyewe" linasisitiza kwamba ni Yahwe ndiye atakaye hukumu.

nitahukumu kati ya kondoo mnene na yule mwembamba

"nitahakikisha kwamba kondoo mnene na mbuzi na kondoo wembamba na mbuzi wanatendeana kila mmoja vyema"

kwa ajili yako

"Neno "wewe" linarejea kwa kondoo na mbuzi ambazo hazikuwa zinawatenda vyema kondoo wengine na mbuzi.

kwa upande wako

"kwa upande wa mwili wako"

amewapiga

"amewasukuma"

kuwatawanya

"kuwafanya waende katika mahali tofauti tofauti"

mbali na nchi

"mbali na nchi ya Israeli"