# Tazama! Neno "tazama" hapa linaongeza msisitizo kwa kile kifuatacho. # mimi mwenyewe Neno "nini mwenyewe" linasisitiza kwamba ni Yahwe ndiye atakaye hukumu. # nitahukumu kati ya kondoo mnene na yule mwembamba "nitahakikisha kwamba kondoo mnene na mbuzi na kondoo wembamba na mbuzi wanatendeana kila mmoja vyema" # kwa ajili yako "Neno "wewe" linarejea kwa kondoo na mbuzi ambazo hazikuwa zinawatenda vyema kondoo wengine na mbuzi. # kwa upande wako "kwa upande wa mwili wako" # amewapiga "amewasukuma" # kuwatawanya "kuwafanya waende katika mahali tofauti tofauti" # mbali na nchi "mbali na nchi ya Israeli"