sw_tn/ezk/33/32.md

28 lines
634 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Yahwe anaendelea kunena na Ezekieli kuhusu watu wa Israeli.
# wewe ni kama wimbo mzuri kwao
"wanafikiri kwamba wewe ni kama wimbo mzuri"
# wimbo mzuri
Maana zinazowezekana "wimbo mzuri" au "wimbo wa mapenzi" au wimbo kuhusu mapenzi."
# nzuri awezaye kucheza kinanda vizuri
"ambayo mtu hucheza vizuri kwenye kinanda kizuri."
# wakati haya yote yatokeapo
Neno "haya" inarejea kwa mambo yote ambayo Mungu aliyasema yatatokea na kwamba Ezekieli aliwaambia watu.
# tazama!
Neno "tazama" hapa linaongeza kusisitiza kwa kile kifuatacho.
# yule nabii aliyekuwa miongoni mwao
"kwamba kweli nimekutumia nabii."