# Maelezo ya Jumla: Yahwe anaendelea kunena na Ezekieli kuhusu watu wa Israeli. # wewe ni kama wimbo mzuri kwao "wanafikiri kwamba wewe ni kama wimbo mzuri" # wimbo mzuri Maana zinazowezekana "wimbo mzuri" au "wimbo wa mapenzi" au wimbo kuhusu mapenzi." # nzuri awezaye kucheza kinanda vizuri "ambayo mtu hucheza vizuri kwenye kinanda kizuri." # wakati haya yote yatokeapo Neno "haya" inarejea kwa mambo yote ambayo Mungu aliyasema yatatokea na kwamba Ezekieli aliwaambia watu. # tazama! Neno "tazama" hapa linaongeza kusisitiza kwa kile kifuatacho. # yule nabii aliyekuwa miongoni mwao "kwamba kweli nimekutumia nabii."