sw_tn/ezk/33/32.md

634 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kunena na Ezekieli kuhusu watu wa Israeli.

wewe ni kama wimbo mzuri kwao

"wanafikiri kwamba wewe ni kama wimbo mzuri"

wimbo mzuri

Maana zinazowezekana "wimbo mzuri" au "wimbo wa mapenzi" au wimbo kuhusu mapenzi."

nzuri awezaye kucheza kinanda vizuri

"ambayo mtu hucheza vizuri kwenye kinanda kizuri."

wakati haya yote yatokeapo

Neno "haya" inarejea kwa mambo yote ambayo Mungu aliyasema yatatokea na kwamba Ezekieli aliwaambia watu.

tazama!

Neno "tazama" hapa linaongeza kusisitiza kwa kile kifuatacho.

yule nabii aliyekuwa miongoni mwao

"kwamba kweli nimekutumia nabii."