sw_tn/ezk/33/14.md

508 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia ezekieli ujumbe wake kwa Waisraeli.

kama akirudisha dhamana

"kama akirudisha dhamana"

dhamana

kitu ambacho mtu huacha kwa mtu mwingine kuonyesha kwamba atatunza ahadi yake kurudisha kile alichokiazima.

akirudisha kwa kile alichokipoteza

"rudisha kile alichokipoteza"

tembea katika maagizo yatoayo uzima

"kuishi kulinagana na sheria zitoazo uzima"

Dhambi alizozifanya hazitakumbukwa kwa ajili yake

"sitashikilia dhambi yake yoyote juu yake."