sw_tn/ezk/33/14.md

24 lines
508 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Yahwe anaendelea kumpatia ezekieli ujumbe wake kwa Waisraeli.
# kama akirudisha dhamana
"kama akirudisha dhamana"
# dhamana
kitu ambacho mtu huacha kwa mtu mwingine kuonyesha kwamba atatunza ahadi yake kurudisha kile alichokiazima.
# akirudisha kwa kile alichokipoteza
"rudisha kile alichokipoteza"
# tembea katika maagizo yatoayo uzima
"kuishi kulinagana na sheria zitoazo uzima"
# Dhambi alizozifanya hazitakumbukwa kwa ajili yake
"sitashikilia dhambi yake yoyote juu yake."