sw_tn/ezk/33/12.md

20 lines
498 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa Israeli.
# Haki ya mwenye haki haitamwokoa kama akikosa!
"Kama watu wenye haki wakianza kuasi, ukweli ni kwamba walikuwa wenye haki kabla hawatawaokoa"
# kama akiamini katika haki yake
"kama akitegemea juu ya haki yake." Mtu anafikiri kwamba kwa sababu alikuwa na haki Yahwe hatamwadhibu, hata kama akiasi.
# fanya isiyo haki
"fanya yaliyo maovu"
# kwa ajili ya uovu alioufanya
kwa sababu ya mambo maovu aliyoyafanya.