sw_tn/ezk/33/12.md

498 B

Maelezo ya Jumla:

yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa Israeli.

Haki ya mwenye haki haitamwokoa kama akikosa!

"Kama watu wenye haki wakianza kuasi, ukweli ni kwamba walikuwa wenye haki kabla hawatawaokoa"

kama akiamini katika haki yake

"kama akitegemea juu ya haki yake." Mtu anafikiri kwamba kwa sababu alikuwa na haki Yahwe hatamwadhibu, hata kama akiasi.

fanya isiyo haki

"fanya yaliyo maovu"

kwa ajili ya uovu alioufanya

kwa sababu ya mambo maovu aliyoyafanya.