# Maelezo ya Jumla: yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa Israeli. # Haki ya mwenye haki haitamwokoa kama akikosa! "Kama watu wenye haki wakianza kuasi, ukweli ni kwamba walikuwa wenye haki kabla hawatawaokoa" # kama akiamini katika haki yake "kama akitegemea juu ya haki yake." Mtu anafikiri kwamba kwa sababu alikuwa na haki Yahwe hatamwadhibu, hata kama akiasi. # fanya isiyo haki "fanya yaliyo maovu" # kwa ajili ya uovu alioufanya kwa sababu ya mambo maovu aliyoyafanya.