sw_tn/ezk/33/05.md

442 B

Maelezo ya jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa Waisraeli.

damu yake i juu yake

"itakuwa ni kosa lake mwenyewe kwamba amekufa"

okoa maisha yake mwenyewe

"atajiokoa mwenyewe kutoka kifo"

upanga kama ujavyo

Neno "upanga" inarejea kwa adui wa jeshi.

upanga ujao na kuchukua uhai wa mtu

"upanga ujao kumuua yeyote"

mtu akafa kwenye dhambi yake mwenyewe

"mtu atakufa kwa sababu ya dhambi yake mwenyewe"