# Maelezo ya jumla: Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa Waisraeli. # damu yake i juu yake "itakuwa ni kosa lake mwenyewe kwamba amekufa" # okoa maisha yake mwenyewe "atajiokoa mwenyewe kutoka kifo" # upanga kama ujavyo Neno "upanga" inarejea kwa adui wa jeshi. # upanga ujao na kuchukua uhai wa mtu "upanga ujao kumuua yeyote" # mtu akafa kwenye dhambi yake mwenyewe "mtu atakufa kwa sababu ya dhambi yake mwenyewe"