sw_tn/ezk/33/05.md

24 lines
442 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya jumla:
Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa Waisraeli.
# damu yake i juu yake
"itakuwa ni kosa lake mwenyewe kwamba amekufa"
# okoa maisha yake mwenyewe
"atajiokoa mwenyewe kutoka kifo"
# upanga kama ujavyo
Neno "upanga" inarejea kwa adui wa jeshi.
# upanga ujao na kuchukua uhai wa mtu
"upanga ujao kumuua yeyote"
# mtu akafa kwenye dhambi yake mwenyewe
"mtu atakufa kwa sababu ya dhambi yake mwenyewe"