sw_tn/ezk/33/01.md

24 lines
348 B
Markdown

# neno la Yahwe likaja
"Yahwe akanena neno lake."
# Mwanadamu
Tazama tafsiri yake katika sura ya 2:1.
# upanga juu ya nchi
Neno "upanga" linarejea kwa adui wa jeshi lishambulialo.
# kumfanya mlinzi
"kumteua kama mlinzi"
# usitilie manani
"puuza onyo"
# damu ya kila mmoja iko juu ya kichwa chake mwenyewe
"ni kosa lao wenye kama wakifa"