# neno la Yahwe likaja "Yahwe akanena neno lake." # Mwanadamu Tazama tafsiri yake katika sura ya 2:1. # upanga juu ya nchi Neno "upanga" linarejea kwa adui wa jeshi lishambulialo. # kumfanya mlinzi "kumteua kama mlinzi" # usitilie manani "puuza onyo" # damu ya kila mmoja iko juu ya kichwa chake mwenyewe "ni kosa lao wenye kama wakifa"