sw_tn/ezk/32/28.md

381 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kunena.

utaangamizwa

"nitakuangamiza."

kati yao wasiotahiriwa

"karibu na watu wasiotahiriwa"

wale waliouawa kwa upanga

Tazama tafsiri yake katika sura ya 32:24.

Edomu yuko huko na wafalme na viongozi wake wote

"Edomu yupo katika Sheoli pamoja na wafalme na viongozi wake wote."

Walikuwa na nguvu

"Walikuwa na nguvu nyingi"