sw_tn/ezk/32/28.md

24 lines
381 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Yahwe anaendelea kunena.
# utaangamizwa
"nitakuangamiza."
# kati yao wasiotahiriwa
"karibu na watu wasiotahiriwa"
# wale waliouawa kwa upanga
Tazama tafsiri yake katika sura ya 32:24.
# Edomu yuko huko na wafalme na viongozi wake wote
"Edomu yupo katika Sheoli pamoja na wafalme na viongozi wake wote."
# Walikuwa na nguvu
"Walikuwa na nguvu nyingi"