# Maelezo ya Jumla: Yahwe anaendelea kunena. # utaangamizwa "nitakuangamiza." # kati yao wasiotahiriwa "karibu na watu wasiotahiriwa" # wale waliouawa kwa upanga Tazama tafsiri yake katika sura ya 32:24. # Edomu yuko huko na wafalme na viongozi wake wote "Edomu yupo katika Sheoli pamoja na wafalme na viongozi wake wote." # Walikuwa na nguvu "Walikuwa na nguvu nyingi"