sw_tn/ezk/32/19.md

36 lines
478 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Yahwe anaendelea kunena na Ezekieli
# Waulize
"Waulize Misri na jeshi lake"
# Nenda chini
Inaonyesha kwamba wanaenda chini hata Sheoli.
# Wao
"Misri na jeshi lake"
# wataanguka
"watakufa"
# waliokuwa wameuawa kwa upanga
"ambao walikufa katika mapigano"
# Misri amepatiwa upanga
"Maadui wataishambulia Misri"
# maadui zake watamkamata na watumishi wake."
watumishi wake
# kuhusu Misri na washirika wake
"kuhusu Misri na wale waliojiunga nao"