sw_tn/ezk/32/19.md

478 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kunena na Ezekieli

Waulize

"Waulize Misri na jeshi lake"

Nenda chini

Inaonyesha kwamba wanaenda chini hata Sheoli.

Wao

"Misri na jeshi lake"

wataanguka

"watakufa"

waliokuwa wameuawa kwa upanga

"ambao walikufa katika mapigano"

Misri amepatiwa upanga

"Maadui wataishambulia Misri"

maadui zake watamkamata na watumishi wake."

watumishi wake

kuhusu Misri na washirika wake

"kuhusu Misri na wale waliojiunga nao"