# Maelezo ya Jumla: Yahwe anaendelea kunena na Ezekieli # Waulize "Waulize Misri na jeshi lake" # Nenda chini Inaonyesha kwamba wanaenda chini hata Sheoli. # Wao "Misri na jeshi lake" # wataanguka "watakufa" # waliokuwa wameuawa kwa upanga "ambao walikufa katika mapigano" # Misri amepatiwa upanga "Maadui wataishambulia Misri" # maadui zake watamkamata na watumishi wake." watumishi wake # kuhusu Misri na washirika wake "kuhusu Misri na wale waliojiunga nao"