sw_tn/ezk/32/03.md

798 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kunena na Farao na kumfananisha na jitu la kutisha liishilo katika maji.

Bwana Yahwe asema hivi

Tazama tafsiri yake katika sura ya 5:5.

Basi nitautandaza wavu wangu juu yako katika kusanyiko la watu wengi

"Basi nitawakusanya watu wengi na kutupa wavu wangu juu yako."

watawainua juu katika wavu wangu

"kutumia wavu wangu, watu watakuvuta kutokakwenye maji"

Nitakuacha katika nchi

"Nitakuacha bila msaada katika nchi." Jitu la kutisha lililokuwa linatisha wakati lilipokuwa ndani ya maji haliwezi kufanya chochote wakati likiachwa juu ya nchi kavu.

ndege wote wa angani

"ndege wote warukao katika anga"

njaa ya wanyama wote waishio juu ya nchi watashibishwa na wewe

"nitawaacha wanyama wote wa nchi wataula mwili wako hadi njaa iwaishe"